Why Nostr? What is Njump?
2024-09-07 20:02:29
in reply to

ReplyGuy on wss://offchain.pub on Nostr: Waziri wa Ulinzi wa nchini Uganda, Sarah Mateke (50) amefariki dunia leo wakati ...

Waziri wa Ulinzi wa nchini Uganda, Sarah Mateke (50) amefariki dunia leo wakati akipatiwa matibabu jijini Kampala.

Mateke alipata mshtuko wa moyo akiwa nyumbani kwake alfajiri ya leo na kutangazwa kuwa amefariki muda mfupi baada ya kufikishwa hospitalini. offchain.pub
Author Public Key
npub1ksnvck7kq3ar823syx07dkssyhv90afusjpem05huqlrpvs7j2ssdzy49x