Why Nostr? What is Njump?
2024-09-07 20:01:48

Bitcoin safari community on Nostr: Waziri wa Ulinzi wa nchini Uganda, Sarah Mateke (50) amefariki dunia leo wakati ...

Waziri wa Ulinzi wa nchini Uganda, Sarah Mateke (50) amefariki dunia leo wakati akipatiwa matibabu jijini Kampala.

Mateke alipata mshtuko wa moyo akiwa nyumbani kwake alfajiri ya leo na kutangazwa kuwa amefariki muda mfupi baada ya kufikishwa hospitalini.
Author Public Key
npub1t8cxvze5m4y0nhavtktnkamhff667pt75w3xzg22chxue4wjg3qqufsqc6