Why Nostr? What is Njump?
2024-07-20 05:25:32

Givenlady on Nostr: Unahitaji vitu vinne tu ili uwe na furaha 1. Familia 2. Utimamu wa mwili -Afya njema ...

Unahitaji vitu vinne tu ili uwe na furaha
1. Familia
2. Utimamu wa mwili
-Afya njema ya mwili na akili
3. Hekima (wisdom)
- maarifa kuhusu Mungu
- maarifa kuhusu mifumo ya maisha
4. Bitcoin
- ukishahold Bitcoin (au Cryptocurrency zingine) niamini Mimi hutakiwi kuwa stressed tena kuhusu uchumi wako
📌 Unakuwa umemaliza kila kitu hapo... 🥳!

Tutaanza kuachia uchambuzi wa coins mbalimbali hapa, mainly kwenye Bitcoin na Etherium...stay tuned,! 🔥

Kwetu sisi always ✍️ Sharing is Winning🏆



Author Public Key
npub1tj83ffxpl48nhdxwklh99a5d63dpc82xp2jm9vyvuwn0hyhxyqdq0ty0kh