The class discussion went beyond theory, allowing students to ask meaningful questions, share perspectives, and interact directly with the educator—making it a dynamic and participatory session. From barter systems to the rise of fiat currencies, and finally to the emergence of Bitcoin, Anna brilliantly connected historical facts to modern-day financial issues, helping students understand why Bitcoin is a powerful innovation in the monetary world.
We are truly grateful for the knowledge and time Anna P. dedicated to our community. Her passion and expertise left a strong impression on our students, setting a high standard for the upcoming lessons. This was just the beginning, and we are excited for what’s ahead as we continue to educate and empower more people in Tanzania and across Africa about Bitcoin.
#BitcoinEducation #BitcoinSafariTz #BTCinAfrica
Habari Njema kwa wote! Leo tunaanza rasmi awamu ya pili ya masomo ya Bitcoin Diploma - BitcoinSafariTz, tukifungua kwa msisimko mkubwa na hamasa mpya. Katika kuanza huku, tunayo heshima kubwa kumkaribisha Anna Peng, mtaalamu wa Bitcoin, mwekezaji, na mwalimu wa Bitcoin anayejulikana duniani. Anna ni Ex-Federal Reserve officer na pia Ex-TradFi executive, ambaye sasa amejiunga kikamilifu na harakati za Bitcoin kama Bitcoin maxi.
Katika siku ya kwanza ya Cohort hii, Anna atatuongoza kupitia Sehemu ya Kwanza ya Masomo ya Chapter 1 na 2, ambazo zinahusu mada muhimu sana:
🔸 “Why do we need money?”
🔸 “What is money?”
Masomo haya ni msingi muhimu katika kuelewa thamani ya Bitcoin, historia ya pesa, na ni kwa namna gani pesa za kidijitali kama Bitcoin zinachukua nafasi katika mfumo wa kifedha wa sasa. Hii ni fursa adhimu kwa wanafunzi wote kutoka Tanzania, Tunisia, na Ghana ambao wamejiandikisha kwa wingi kwa ajili ya kupata maarifa ya kiuchumi na kifedha.
Karibu sana! Jiandae kujifunza, kuuliza maswali, na kupata msukumo wa kweli wa kifedha kwa kutumia Bitcoin.
![]()

